Kiekpeye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiekpeye ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waekpeye. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiekpeye imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiekpeye iko katika kundi la Kiigboidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiekpeye kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.