Kiekit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiekit ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waekit. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiekit imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiekit iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiekit kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.