Kiegeani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiegani kwenye kisiwa cha Mafia

Kiegeani ni kata ya Wilaya ya Mafia katika Mkoa wa Pwani, Tanzania, yenye postikodi namba 61702.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 5,335 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,094 [2] walioishi humo.

Kiegani iko kusini-mashariki mwa kisiwa cha Mafia ikitazama visiwa vidogo vya Juani, Jibondo na Chole.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nbs.go.tz/
  2. Sensa ya 2012, Pwani - Mafia DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-06-13.
Kata za Wilaya ya Mafia - Mkoa wa Pwani - Tanzania

BaleniJibondoKangaKiegeaniKirongweKilindoniMiburaniNdagoni


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kiegeani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.