Kiefai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiefai ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Waefai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiefai imehesabiwa kuwa watu 6320. Pia kuna wasemaji 900 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiefai iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiefai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.