Kiduma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiduma (lugha))

Kiduma ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Waduma. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiduma imehesabiwa kuwa watu 9840. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiduma iko katika kundi la B50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiduma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.