Kidulbu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidulbu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadulbu. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kidulbu imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidulbu iko katika kundi la Kijarawan linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidulbu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.