Kiduala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiduala (lugha))

Kiduala ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waduala. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiduala imehesabiwa kuwa watu 87,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiduala iko katika kundi la A20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiduala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.