Kidompo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidompo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wadompo. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kidompo imehesabiwa kuwa watu 65 tu. Kwa hiyo inawezekana iko karibu kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidompo iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidompo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.