Kidombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidombe ni lugha ya Kibantu nchini Zimbabwe inayozungumzwa na Wadombe. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kidombe imehesabiwa kuwa watu 5430. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidombe iko katika kundi la M60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidombe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.