Kidiriku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kidiriku ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wadiriku. Idadi ya wasemaji wa Kidiriku imehesabiwa kuwa watu 24,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidiriku iko katika kundi la K70.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidiriku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.