Kidhao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidhao (pia Kindau au Kikahore) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadhao kwenye visiwa vya Ndau, Rote na Timor. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kidhao imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidhao iko katika kundi la Kisumba-Hawu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidhao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.