Kidegema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidegema ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadegema. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kidegema imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidegema iko katika kundi la Kiedoidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidegema kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.