Kidazaga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidazaga ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Niger inayozungumzwa na Wadazaga. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kidazaga nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 331,000. Pia kuna wasemaji 50,000 nchini Niger. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidazaga iko katika kundi la Kisahara-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidazaga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.