Kidakka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidakka ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadakka kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kidakka imehesabiwa kuwa watu 1500. Kwa vile Wadakka wengi wameanza kuacha lugha yao, Kidakka iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidakka iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidakka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.