Kidaasanach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidaasanach ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia na Kenya inayozungumzwa na Wadaasanach. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kidaasanach nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 32,100. Pia kuna wasemaji 8000 nchini Kenya. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidaasanach iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidaasanach kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.