Kic'lela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kic'lela ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wac'lela. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kic'lela imehesabiwa kuwa watu 90,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kic'lela iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kic'lela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.