Kibuol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibuol (pia Kidia) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabuol kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibuol imehesabiwa kuwa watu 96,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibuol iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibuol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.