Kibozo-Tieyaxo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibozo-Tieyaxo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wabozo. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kitieyaxo imehesabiwa kuwa watu 118,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitieyaxo iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibozo-Tieyaxo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.