Kiborna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiborna (pia Kiboro) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Waborna. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiborna imehesabiwa kuwa watu 19,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiborna iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiborna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.