Kibolinao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibolinao ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabolinao. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibolinao imehesabiwa kuwa watu 51,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibolinao iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibolinao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.