Kibokyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibokyi (lugha))

Kibokyi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabokyi. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibokyi imehesabiwa kuwa watu 140,000. Pia kuna wasemaji 3700 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibokyi iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibokyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.