Kiboko (Kongo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiboko ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waboko. Idadi ya wasemaji wa Kiboko imehesabiwa kuwa watu 21,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiboko iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiboko (Kongo) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.