Kibobot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibobot (pia Kihatumeten au Kintau) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabobot kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibobot imehesabiwa kuwa watu 4500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibobot iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibobot kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.