Kiboano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiboano ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waboano kwenye kisiwa cha Sulawesi. Isichanganywe na Kiboano ya Maluku; ni lugha tofauti. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiboano imehesabiwa kuwa watu 2700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiboano iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiboano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.