Kibo-Ung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibo-Ung (pia Kitembagla) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabo-Ung. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibo-Ung imehesabiwa kuwa watu 40,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibo-Ung iko katika kundi la Kihagen.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibo-Ung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.