Kibirifor-Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibirifor-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wabirifor. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kibirifor-Kusini nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 125,000. Pia kuna wasemaji zaidi ya 4000 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibirifor-Kusini iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibirifor-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.