Kibinukid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibinukid ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabinukid. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibinukid imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibinukid iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibinukid kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.