Kibinji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibinji ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabinji. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibinji imehesabiwa kuwa watu 165,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibinji iko katika kundi la L20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibinji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.