Kibina (Nigeria)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibina ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabina. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibina imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibina iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibina (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.