Kibimoba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibimoba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wabimoba. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kibimoba imehesabiwa kuwa watu 120,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibimoba iko katika kundi la Kigur. Wataalamu wengine hudai kuwa lugha ya Kibimoba ni lugha ileile ya Kimoba cha Togo wakati wengine husema ni lugha mbili tofauti zinazofanana tu bila kuelewekana.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibimoba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.