Kibikaru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibikaru (pia Kipikaru) ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabikaru. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kibikaru imehesabiwa kuwa watu 100 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibikaru iko katika kundi la “Sepik Hill”. Wataalamu wengine hufikiri kuwa Kibikaru ni sawasawa na Kinete; tena wengine huiangalia kama lahaja ya Kibisorio.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibikaru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.