Kibieria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibieria ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wabieria kwenye kisiwa cha Epi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibieria imehesabiwa kuwa watu 70 tu, na lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibieria iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibieria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.