Kibiafada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibiafada ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea-Bisau inayozungumzwa na Wabiafada. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibiafada imehesabiwa kuwa watu 44,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibiafada iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibiafada kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.