Kiberta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiberta (pia Kiwetawit) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Ethiopia na Sudan inayozungumzwa na Waberta. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiberta imehesabiwa kuwa watu 187,000. Pia kuna wasemaji 22,000 nchini Sudan. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiberta iko katika kundi lake lenyewe, yaani Kiberta.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiberta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.