Kibenyadu'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibenyadu' (pia Kinyadu au Kibalantian) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabenyadu' kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibenyadu' imehesabiwa kuwa watu 54,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibenyadu' iko katika kundi la Kiland-Dayak.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibenyadu' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.