Kibayot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibayot ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal na Guinea-Bisau inayozungumzwa na Wabayot. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibayot nchini Senegal imehesabiwa kuwa watu 16,100. Pia kuna wasemaji 2190 nchini guinea-Bisau. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibayot iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibayot kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.