Kibatek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibatek ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wabatek. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibatek imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatek iko katika kundi la Kimon-Khmer.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibatek kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.