Kibatak-Simalungun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibatak-Simalungun (pia Kitimur) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasimalungun kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibatak-Simalungun imehesabiwa kuwa watu 1,200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatak-Simalungun iko katika kundi la Kibatak.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibatak-Simalungun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.