Kibasap

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibasap ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabasap kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibasap imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibasap iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibasap kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.