Kibarwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibarwe ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wabarwe. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibarwe imehesabiwa kuwa watu 17,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibarwe iko katika kundi la N40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibarwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.