Kibari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibari ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini na Uganda inayozungumzwa na Wabari. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibari nchini Sudan Kusini imehesabiwa kuwa watu 420,000. Pia kuna wasemaji 60,000 nchini Uganda. Wabari waishio nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huongea Kilogo na siyo Kibari. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibari iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.