Kibangala (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibangala ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabangala. Kuna wasemaji wachache wa Kibangala tu lugha ikaendelea kufanana zaidi na zaidi na Kilingala. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibangala iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibangala (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.