Kibana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibana ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabana. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibana imehesabiwa kuwa watu 23,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibana iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.