Kibamwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibamwe ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabamwe. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kibamwe imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibamwe iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibamwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.