Kibambili-Bambui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibambili-Bambui (lugha))

Kibambili-Bambui ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabambili-Bambui. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kibambili-Bambui imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibambili-Bambui iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibambili-Bambui kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.