Kibali (Kongo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibali ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabali. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibali imehesabiwa kuwa watu 42,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibali iko katika kundi la D20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibali (Kongo) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.