Kibakumpai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibakumpai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabakumpai kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kibakumpai imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibakumpai iko katika kundi la Kibarito. Kibakumpai hutumiwa kama lugha ya soko katikati ya kisiwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibakumpai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.