Kibakati'-Sara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibakati' ya Sara)

Kibakati'-Sara (pia Kiriok) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabakati' kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kibakati'-Sara imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibakati'-Sara iko katika kundi la Kiland-Dayak. Wasemaji wa Kibakati'-Sara pia wanaweza kuelewa lugha ya Kibakati'-Rara lakini lugha yao haieleweki kwa wasemaji wa Kibakati'-Rara.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibakati'-Sara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.