Kibahau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibahau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabahau kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibahau imehesabiwa kuwa watu 19,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibahau iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibahau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.