Kibaha (mji)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kibaha | |
| Mahali pa mji wa Kibaha katika Tanzania | |
| Anwani ya kijiografia: 6°46′12″S 38°55′12″E / 6.77°S 38.92°E | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Pwani |
| Wilaya | Kibaha |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 132,045 |
Kibaha ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Pwani. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kibaha ilihesabiwa kuwa 132,045 [1].
[hariri] Marejeo
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kibaha (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |